27 Juni, 2025
Wahubiri Wote: Jason Kauffman
Mada: Kumfuata Yesu, Kuusulubisha Mwili
Wengine wanavaa msalaba shingoni. Wakifanya hivyo wanatimiza maneno ya Yesu katika Mat 16:24? ( “Mtu… soma zaidi
31 Mei, 2025
Wahubiri Wote: Jason Kauffman
Mtu anayetaka kuwa fiti na mwenye nguvu anatakiwa afanye mazoezi. Tunapomfuata Kristo kuna mazoezi yanayoweza… soma zaidi
15 Mei, 2025
Hatuoni shida kama mtoto mdogo hawezi kutembea au kuandika. Ila kama ataendelea bila kukua na… soma zaidi
7 Mei, 2025
Wahubiri Wote: Michael Korosso
Mada: Kutii
Katika kipindi hiki kuna maswali mawili yanaulizwa. 1. Kuna Mahusiano Gani ya Utii Katika Roho… soma zaidi
2 Mei, 2025
Ushawahi kumwona mtoto anafanya kitu shingo upande? Labda kuna kitu unajua unatakiwa ufanye ila unachelewa… soma zaidi
25 Aprili, 2025
Wahubiri Wote: Michael Korosso
Mada: Kumfuata Yesu, Kutii
Mungu anapenda utiifu kuliko sadaka na madhabahu. Wakati mwingine tunahisi tutafanya kitu kikubwa kwa ajili… soma zaidi
3 Aprili, 2025
Bila shaka Mungu anataka tushinde. Na sisi pia tunataka kushinda. Kwa nini basi bado tunashindwa?… soma zaidi
1 Aprili, 2025
Kwa nini Yesu alikuja duniani? Katika Mat 1:21 Biblia inasema kwamba alikuja kuwaokoa watu wake… soma zaidi
22 Machi, 2025
Katika somo hili Mchungaji Korosso anazungumzia baadhi ya vitu vinayohitajika katika maisha ya mfuasi wa… soma zaidi