06b Hakikisho la Wokovu; (Uko Tayari Kupima Imani yako?) Madaraja ya Kumfikia Mungu

Bible Passage: 1 Yoh 2, 1 Yoh 3

Katika somo hili Mchungaji Korosso anazungumzia baadhi ya vitu vinayohitajika katika maisha ya mfuasi wa Kristo. Tunaweza kujipima kulingana na Neno la Mungu kuona kama tunatembea mbele zake Mungu kama tunavyotakiwa kutembea. Pia kuna maswali magumu yanayoulizwa na kujibiwa kuhusiana na Kumkufuru Roho Mtakatifu na Dhambi iliyo ya Mauti.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767