Katika somo hili Mchungaji Korosso anatufundisha namna ya kujua kwamba tumeokoka. Kwanza Mungu kwa upendo wake mkuu ametusamehe bure. Kama Mungu anasema ametuokoa kwa nini tena kujiuliza na kuhangaika? Tuwe na imani isiyo na shaka juu ya mpango wake Mungu kutuokoa.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767