25 Aprili, 2025
Wahubiri Wote: Nelson Korosso
Mada: Kumfuata Yesu, Kutii
Mungu anapenda utiifu kuliko sadaka na madhabahu. Wakati mwingine tunahisi tutafanya kitu kikubwa kwa ajili… soma zaidi
3 Aprili, 2025
Bila shaka Mungu anataka tushinde. Na sisi pia tunataka kushinda. Kwa nini basi bado tunashindwa?… soma zaidi
1 Aprili, 2025
Kwa nini Yesu alikuja duniani? Katika Mat 1:21 Biblia inasema kwamba alikuja kuwaokoa watu wake… soma zaidi
22 Machi, 2025
Katika somo hili Mchungaji Korosso anazungumzia baadhi ya vitu vinayohitajika katika maisha ya mfuasi wa… soma zaidi
17 Machi, 2025
Katika somo hili Mchungaji Korosso anatufundisha namna ya kujua kwamba tumeokoka. Kwanza Mungu kwa upendo… soma zaidi
7 Machi, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Mungu hapendi kwamba tufanye makosa. Lakini ni nani ambaye hajakosea? Katika (1 Yohana 2:1) Tunasoma… soma zaidi
3 Machi, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Nani ni Baba wa Uongo? Katika Yoh 8:44 tunajifunza kwamba ni Ibilisi. Nani ndiye Kweli?… soma zaidi
28 Febuari, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Neno la Mungu linasema: “Neno lolote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la… soma zaidi
14 Febuari, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Dunia kuna watu wa namna nyingi tofauti. Watu wa Mungu watakuwa safi. Hasa tukizingatia mahusiano… soma zaidi