7 Mei, 2025
Wahubiri Wote: Michael Korosso
Mada: Kutii
Katika kipindi hiki kuna maswali mawili yanaulizwa. 1. Kuna Mahusiano Gani ya Utii Katika Roho… soma zaidi
2 Mei, 2025
Ushawahi kumwona mtoto anafanya kitu shingo upande? Labda kuna kitu unajua unatakiwa ufanye ila unachelewa… soma zaidi
25 Aprili, 2025
Wahubiri Wote: Michael Korosso
Mada: Kumfuata Yesu, Kutii
Mungu anapenda utiifu kuliko sadaka na madhabahu. Wakati mwingine tunahisi tutafanya kitu kikubwa kwa ajili… soma zaidi
3 Aprili, 2025
Bila shaka Mungu anataka tushinde. Na sisi pia tunataka kushinda. Kwa nini basi bado tunashindwa?… soma zaidi
1 Aprili, 2025
Kwa nini Yesu alikuja duniani? Katika Mat 1:21 Biblia inasema kwamba alikuja kuwaokoa watu wake… soma zaidi
22 Machi, 2025
Katika somo hili Mchungaji Korosso anazungumzia baadhi ya vitu vinayohitajika katika maisha ya mfuasi wa… soma zaidi
17 Machi, 2025
Katika somo hili Mchungaji Korosso anatufundisha namna ya kujua kwamba tumeokoka. Kwanza Mungu kwa upendo… soma zaidi
7 Machi, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Mungu hapendi kwamba tufanye makosa. Lakini ni nani ambaye hajakosea? Katika (1 Yohana 2:1) Tunasoma… soma zaidi
3 Machi, 2025
Kozi: 03 Nyayo za Kristo
Nani ni Baba wa Uongo? Katika Yoh 8:44 tunajifunza kwamba ni Ibilisi. Nani ndiye Kweli?… soma zaidi