Baada ya somo “Mwanzo na Uendelezaji wa Familia” Kuliibuka maswali kama vile Adamu na Hawa walifunga ndoa wapi? Ni nani anayeweza kutenganisha wana ndoa? Utafanyaje ikiwa mwenza wako hakupendi? Ni kwa hali gani utaweza kurejesha upendo katika ndoa yako?
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Kujenga Familia za Kikristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti: https://majiyauzima.com/