4.3 Mtoto na Jinsi Anavyoendelea Kukua; (Kujenga Familia za Kikristo)

25 Agosti, 2026

Katika somo hili Mchungaji Korosso ameweza kufundisha kuhusu ukuaji wa watoto wetu akiangalia hasa katika sehemu hizi sita;
1. Kukua Kimwili
2. Kukua katika Familia
3. Kukua katika Majukumu kwake Mungu
4. Kukuza Maisha yake
5. Kijana, kiungo Muhimu katika Familia
6.Kijana, Chagua Kilicho Bora

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Kujenga Familia za Kikristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti: https://majiyauzima.com/