April 05 2023
Kozi ya Hatua Ya Kwanza imegawanyika katika masomo 20 yanayohusiana na Injili ya Yohana. Tungependa Injili ya Yohana na – siyo maelezo yetu – iwe kiini chako kikuu. Maswali tunayouliza na maelezo tunayotoa yamechaguliwa ili kukusaidia zaidi kuielewa Injili ya Yohana. Ni matumaini yetu kwamba utayafurahia masomo haya. Kama utayafurahia, labda ungependa kuwaambia marafiki zako juu yake ili wapate kujiandikisha pia.
11 Oktoba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Tukimwamini Yesu wajibu wetu ni nini? Katika somo hili Mch. Justin anaangalia maanake kumfuata Yesu…. soma zaidi
11 Oktoba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Katika somo hili ndugu Jeff anapitia sura zote ya Injili ya Yohana na kukumbusha japo… soma zaidi
5 Oktoba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Katika sura za 19-20 Injili ya Yohana tunashuhudia namna Yesu alikuwa mfalme. Si mfalme aliyetawala… soma zaidi
5 Oktoba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Yesu ndiye Mfalme wa Amani. Katika sura ya 18 ya Injili ya Yohana Yesu ametuambia… soma zaidi
29 Septemba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Yesu ndiye: Rafiki, Mshindi, Mwombezi na Aliyehukumiwa. Katika sura ya 16 mpaka 17 ya Injili… soma zaidi
29 Septemba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Katika Sura ya 15 ya Yohana tunajifunza kwamba Yesu ni mzabibu wa kweli. Mch. Korosso… soma zaidi
20 Septemba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Yesu alitufundisha kwamba tupendane. Injili ya Yohana 13:34 Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda… soma zaidi
20 Septemba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Katika video hii kaka Mathayo anatuonyesha jinsi Yesu ndiye: BWANA – MTUMWA kama tunavyosoma katika… soma zaidi
14 Septemba, 2024
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Katika sura ya 11 ya Injili ya Yohana tunasoma habari za Yesu kumfufua Lazaro. Ndugu… soma zaidi