Kozi Za Biblia
Tazama video zilizopo hapa chini kuona mahubiri yanayoendana na masomo ya Maji ya Uzima.

Imechujwa kwa:

Kozi: 01 Hatua ya Kwanza

Futa
Maelezo ya Kozi

01 Hatua ya Kwanza

April 05 2023

Kozi ya Hatua Ya Kwanza imegawanyika katika masomo 20 yanayohusiana na Injili ya Yohana. Tungependa Injili ya Yohana na – siyo maelezo yetu – iwe kiini chako kikuu. Maswali tunayouliza na maelezo tunayotoa yamechaguliwa ili kukusaidia zaidi kuielewa Injili ya Yohana. Ni matumaini yetu kwamba utayafurahia masomo haya. Kama utayafurahia, labda ungependa kuwaambia marafiki zako juu yake ili wapate kujiandikisha pia.

Hotuba in 01 Hatua ya Kwanza