17 Hatua Ya Kwanza Somo 16-17: Yesu, Ahukumiwa Pasipo Haki

5 Oktoba, 2024

Kitabu: Yohana

Bible Passage: Yohana 18

Yesu ndiye Mfalme wa Amani. Katika sura ya 18 ya Injili ya Yohana Yesu ametuambia kwamba ufalme wake si wa ulimwengu huu. Yesu ametuonyesha kwamba kama wafuasi wake hatupaswi kupigana juu ya mambo ya dunia hii.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767