Yesu ndiye: Rafiki, Mshindi, Mwombezi na Aliyehukumiwa. Katika sura ya 16 mpaka 17 ya Injili ya Yohana, Ndugu Mathew anafafanua jinsi Yesu ni rafiki yetu. Ametuambia yote hajatuficha kitu. Pia katika maombi yake Yesu tunajifunza ni namna gani na sisi tuweze kuomba katika jina la Yesu. Yaani tunaweza kuingia katika nafasi yake Yesu kama watoto wa Mungu.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767