15 Hatua ya Kwanza Somo 15; Yesu, Mzabibu wa Kweli

29 Septemba, 2024

Mada: Sifa za Yesu

Kitabu: Yohana

Bible Passage: Yohana 15

Katika Sura ya 15 ya Yohana tunajifunza kwamba Yesu ni mzabibu wa kweli. Mch. Korosso anatukumbusha kwamba tusipozaa matunda tutakatwa na kutupwa motoni.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia Barua pepe: neno@majiyauzima.com Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767