April 05 2023
Kozi ya Hatua Ya Kwanza imegawanyika katika masomo 20 yanayohusiana na Injili ya Yohana. Tungependa Injili ya Yohana na – siyo maelezo yetu – iwe kiini chako kikuu. Maswali tunayouliza na maelezo tunayotoa yamechaguliwa ili kukusaidia zaidi kuielewa Injili ya Yohana. Ni matumaini yetu kwamba utayafurahia masomo haya. Kama utayafurahia, labda ungependa kuwaambia marafiki zako juu yake ili wapate kujiandikisha pia.
1 Novemba, 2023
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Wahubiri Wote: Jeffrey Mast
Mada: Uinjilisti, Unyenyekevu
Tukimfuata Yesu katika maisha yetu ya kila siku itakuaje? Katika sura ya kwanza ya Injili… soma zaidi
1 Novemba, 2023
Kozi: 01 Hatua ya Kwanza
Yesu ni Nani? Katika sura ya kwanza na ya pili ya Injili ya Yohana tunajifunza… soma zaidi