Yesu ni Nani? Katika sura ya kwanza na ya pili ya Injili ya Yohana tunajifunza kwamba Yesu ndiye; Neno, Nuru, Mwana-kondoo na Mpatanishi Pekee. Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia Barua pepe: neno@majiyauzima.com Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767