10 Hatua ya Kwanza Somo 10 Yesu, Mchungaji Mwema

7 Septemba, 2024

Mada: Sifa za Yesu

Kitabu: Yohana

Bible Passage: Yohana 10

Katika video hii Mch. Korosso anaongelea jinsi Yesu ni Mchungaji Mwema kutoka Injili ya Yohana sura ya 10. Yesu ni Mchungaji Mwema sitapungukiwa na kitu. Yesu ni Mchungaji mwenye upendo ametoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. Tunaona pia sifa za mchungaji mwema katika Zaburi 23.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767