Yesu ndiye: Ufufuo na Mfalme, na Aliyeinuliwa. Katika somo hili tunaangalia umuhimu wa kufufuka kwake Yesu. Yeye ni mshindi juu ya kifo. Pia tunajifunza kuhusu Mfalme aliye tofauti kabisa na wafalme wa dunia hii. Katika Injili ya Yohana sura ya 12 Yesu alizungumza kuhusu kuinuliwa akizungumzia kifo chake. Kumbe! Kwa Kristo Kufa ilikuwa njia ya kuinuliwa.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767