Kumheshimu Yesu kama Baba inamaana gani? Maanake ni kwamba Yesu ni Mungu. Pia Katika Video hii tunaangalia umuhimu wa kuwa msomi wa maandiko. Hata Agano la Kale linanena juu ya Yesu. Tukiwa na njaa na kiu ya haki tutashibishwa.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767