Yesu ni Nani? Katika sura ya tano na ya sita ya Injili ya Yohana tunajifunza kwamba Yesu ndiye; Mwiga Baba, Hakimu, Aliyeshuhudiwa, Mkate wa Uzima na Mtakatifu wa Mungu. Katika 2 Kor 3:14-18 Mathayo anatukumbusha kwamba tunatakiwa kuwa kama vioo kuonyesha au kupeleka utukufu wake Mungu kwa watu wengine.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767