02 Hatua ya Kwanza Somo 1-2

1 Novemba, 2023

Bible Passage: Yohanna 1, 2

Tukimfuata Yesu katika maisha yetu ya kila siku itakuaje? Katika sura ya kwanza ya Injili ya Yohana tunasoma jinsi Yohana Mbatizaji alijinyenyekeza na kumwinua Yesu. Tunasoma pia habari za Andrea na Filipo, kupasha wengine habari za Masihi. Katika sura ya pili tunajifunza kwamba Mungu hawezi kustahamili dhambi katika hekalu lake. Bila shaka Neno la Mungu ni hazina kwetu. Masomo haya yanaendana na Kozi ya kusoma Biblia inayoitwa Hatua ya Kwanza. Kozi hii ni ya kwanza katika mfululiza wa kozi za Biblia unaoitwa Maji ya Uzima.

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia :

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu +255754 490 549 / +255719 275 767