Yesu ni Daktari. Katika somo hili tunajifunza kwamba Yesu anaweza kuponya kutokana na imani yetu. Si kwa sababa ya maji fulani au maneno maalum bali imani yetu.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767