04 Hatua ya Kwanza Somo 3-4

17 Agosti, 2024

Kitabu: Yohana

Bible Passage: Yohana 3-4

Kuzaliwa mara ya pili ina maana gani? Katika sura ya tatu ya Injili ya Yohana tunasoma jinsi Nikodema alivyoambiwa na Yesu. Tukisoma katika sura ya nne Yesu alisema kwamba chakula chake ni kufanya mapenzi ya Baba yake. Inatupasa sisi pia kujitoa katika kazi ya Mungu.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Hatua ya Kwanza.
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 /+255719 275 767