Katika kipindi hiki kuna maswali mawili yanaulizwa.
1. Kuna Mahusiano Gani ya Utii Katika Roho na kwa Akili?
2. Utii wa Kiroho Pasipo Akili kuna Madhara yoyote?
Kwa Neema ya Mungu Mchungaji Korosso pamoja na wengine wanaenda kujibu maswali haya.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767