05a Jinsi ya Kuwa Mkristo; (Hatua Zinazohitajika Kuokoka.) Madaraja ya Kumfikia Mungu

17 Disemba, 2024

Mada: Imani, toba, Wokovu

Kitabu: Efeso

Bible Passage: Waefeso 1-2

Mtu anapaswa kuchukua hatua zipi ili aokolewe? Katika somo hili Mchungaji Justin anafundisha njia ya wokovu. Pia utaweza kujifunza maana ya maneno yafuatayo.

А. Upatanisho — badiliko la uhusiano na Mungu

В. Ukombozi — bаdiliko la umiliki

С. Imani — badiliko la msimamo wa moyo kwa Mungu

D. Тоbа — badiliko la nia juu ya Mungu

Е. Kuhesabiwa Haki — badiliko la msimamo mbele ya Mungu

F. Wongofu — (wokovu)—badiliko la maisha

G. Kuzaliwa Upya — badiliko la asili kutoka kwa Mungu

Н. Kufanywa Mwana — badiliko la jamaa

I. Utakaso — badiliko la utumishi

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767