Je! Unajua Biblia inasemaje kuhusu sifa za watu ambao hawajapata tiba ya dhambi?
1. Amekufa Kiroho
Efe 2:1, 1 Tim 5:6
2. ni Mwana wa Shetani
MDO 13:10, Yoh 8:44
3. Ana Akili ya Kuasi
Rum 8:7-8
4. Ana Moyo Mwovu
Ebr 3:12, Yer 17:9, Marko 7:20-23
5. ni Kiumbe Aliyenajisiwa
Tit 1:15, Isa 64:6
6. ni Mtumwa wa Shetani
2 Tim 2:26
7.ni Wana wa Hasira
Efe 2:3
8. ni Chini ya Hukumu
Yoh 3:18, 2 Thes 1:7-9
9. Hana Tumaini
Efe 2:12
Sifa za mtu aliyeokolewa ni zipi?
1. Amefanywa Kuwa Hai
Efe 2:5-6
2. ni Mwana wa Mungu
Yoh 1:12, Gal 3:26
3. ni Wakamilifu Katika Kila Tendo Jema
Ebr 13:21, 1 Pet 1:2
4. Ana Moyo wa Nyama
Eze 11:19-20, Yer 32:39
5. ni Kiumbe Aliyetakaswa
1 Kor 6:11, Ebr 10:22
6. ndio Waliowekwa Huru
Yoh 8:36, Gal 5:1
7. ni Wapatanishi
Mat 5:9, Rum 12:18, Ebr 12:14
8. ndio Waliohesabiwa Haki
Rum 8:1, Rum 8:33-34
9. ni Wenye Tumaini lenye Uzima
1 Pet 1:3, 2 Thes 2:16, Kol 1:27, Rum 15:13
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767