03b Dhambi ya Mwanadamu; (Matokeo ya Dhambi ni Yapi?) Madaraja ya Kumfikia Mungu

23 Novemba, 2024

Mada: Dhambi

Kitabu: Mwanzo

Bible Passage: Mwanzo 3

Umewahi kujiuliza; Dhambi imeleta madhara gani katika maisha ya wanadamu? Nyoka katika bustani ya Edeni alikuwa nani?

Ungana na ndugu Anoldi kujifunza kuhusu hali yetu sisi watoto wa Adamu.

Pia utakuta kipindi cha mjadala na utaweza kupata majibu kwa maswali kama;

Kaini alimwoa nani? Tunda lile la ujuzi wa mema na mabaya lilikuwa tunda wa namna gani?

Bustani ya Edeni lilikuwa wapi na liko wapi leo? Sikiliza video hii upate ufumbuzi juu ya maswali haya pamoja na mambo mengine mazuri. Ubarikiwe!

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767