Katika somo hili tunasoma kuhusu umbaji wa wanadamu. Wanadamu waliumbwa katika mfano wa Mungu wakiwa wasafi na wa kumpendeza Mungu. Ila walimwasi Mungu na wakaingia katika dhambi na kutokana na kosa hili tunaona matokeo mengi ya kusikitisha. Ungana na ndugu Anoldi akifundisha juu ya jinsi sisi sote tumzaliwa tukiwa na asili ya kutenda dhambi.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu.Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767