Je! Unaijua Biblia yako? Kuna vitabu vingapi? Agano la kale linamaana gani? Kati ya Agano la Kale na Agano Jipya ni lipi linalofaa kwa sisi kulifuata wakati huu? Je! unajua asili ya Biblia kuitwa Biblia? Sikiliza Mchungaji Korosso upate majibu kwa maswali haya na mambo mengine pia.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu.Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767