01b Mungu; ( Kumjua Mungu ina Maana Gani? ) Madaraja ya Kumfikia Mungu

30 Oktoba, 2024

Kitabu: Isaya

Bible Passage: Isa 6:1-9

Tukimjua Mungu vizuri maisha yetu yatakuwaje? Kuna faida gani katika kusoma kuhusu Mungu kama hakuna kinachobadilishwa katika maisha yetu ya kila siku. Katika somo hili ndugu Jeff anasoma kuhusu ukuu wa Mungu katika Isaya sura ya arobaini. Sisi si kitu lakini Mungu ndiye mwenye uwezo wote. Pia utasoma kuhusu mwito kwa utakatifu katika Isaya 6:1-9.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Madaraja ya Kumfikia Mungu.Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767