Katika video hii Mchungaji Tim aliongoza katika mjadala uliogusia mada mbalimbali. Karama ya Unabii ni nini? Tunatumia kipimo kipi kujua kama nabii ni nabii wa kweli? Pia kulikuwa na mada ya kutushajihisha kama wafuasi wa Yesu kuonyesha upendo na kuwasaida wengine.
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti: majiyauzima.com