02 Kristo Dhidi ya Tamaa za Mwili (Nyayo za Kristo)

9 Januari, 2025

Bible Passage: 1 Pet 2:11

Katika (1 Petro 2:11) tunasoma: “Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho.” Tunapaswa kufanya nini ili tuepuke tamaa hizi? Kuchukua msalaba wako na kumfuata Yesu ina maana gani? Ungana na Mchungaji Patrick kujifunza zaidi kuhusu maana ya kuacha kila kitu na kumfuata Yesu.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767