1.5 Familia ya Kikristo Yenye Ujumbe (Kujenga Familia za Kikristo)

25 Agosti, 2026

Mada: Familia

Kama familia tutakuwa na ujumbe kwa jamii. Inatakiwa tuwe na ujumbe ulio bora zaidi. Tukihakikisha neema ya Mungu ndani yetu. Katika video hii ndugu Mikaeli ameweza kufundisha kuhusu namna kuwa na ushuhuda katika jamii.

Kwa matendo yetu mema, tukiishi kwa amani na uaminifu watu watashawishika kumfuata Kristo kutokana na imani yetu wanayotambua katika familia zetu.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Kujenga Familia za Kikristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767
Tovuti: https://majiyauzima.com/