Dunia ina mambo mbalimbali ya burudani. Kwa wafuasi wa Kristo tunapaswa kufanyaje? Kuna vigezo gani ambavyo vinaweza vikatuongoza katika kuchagua burudani zetu? Katika somo hili Mchungaji Korosso anatuonya zaidi kuhusu hatari ya kuangalia filamu au picha zinazoonyesha watu ambao hawajavaa vizuri au mambo mengine ya kuchafua. Kama tunavyosoma katika Zab 101:3 “Sitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.”
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767