01 Maana ya Kuwa Mwanafunzi; Nyayo za Kristo

3 Januari, 2025

Bible Passage: Yoh 8:31

Kuwa Mwanafunzi wa Yesu ina maana gani? Katika somo hili Mchungaji Timothy anatusaidia kufahamu umuhimu wa kusoma maisha ya Yesu na kuifuata kwa makini. Tofauti na kuingiza tu maarifa akilini bali tunatakiwa kubadilika mpaka moyoni.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767