Katika video hii Mchungaji Timothy anatamubulisha mradi wa Maji ya Uzima.
Tukisema Maji ya Uzima tunamaanisha nini? Katika Ufunuo 22:17 tunakaribishwa kunywa maji ya uzima bure.
Ipi ni muhimu zaidi? Mioyo yetu kubadilishwa kutokana na kusoma Biblia au kupata cheti kinachotambulisha kwamba tumesoma Biblia?
Mwongozo wa maisha yetu inatoka wapi? Tunachukuaje Agano la Kale? Agano Jipya je?
Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia
Barua pepe: neno@majiyauzima.com
Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767