07 Kristo na Usafi; Kwa Nini Mungu Anataka Tuwe Watakatifu? (Nyayo za Kristo)

14 Febuari, 2025

Kitabu: 1 Thes

Bible Passage: 1 Thes 4:3-7

Dunia kuna watu wa namna nyingi tofauti. Watu wa Mungu watakuwa safi. Hasa tukizingatia mahusiano ya kijinsia. Leo hii watu wengi wanachukulia kawaida kufanya wanavyotaka na miili yao. Katika 1 Thes 4:3, 7 tunasoma : “Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.” Karibu katika somo hili kujifunza pamoja na Mchungaji Korosso kuhusu kuwa wasafi tufuate nyayo zake Kristo.

Mafundisho haya yanaendana na masomo yanayopatikana katika Kozi ya Maji ya Uzima inayoitwa Nyayo za Kristo. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na masomo haya au kujiunga na kozi wasiliana nasi kupitia

Barua pepe: neno@majiyauzima.com

Simu: +255754 490 549 / +255694 298 395 / +255719 275 767