# majiyauzima.com ## Posts - [Maji ya Uzima](https://majiyauzima.com/maji-ya-uzima/): Maji ya Uzima ni kozi zinazokuwezesha kuwa msomi wa Biblia popote ulipo. Lengo kuu ni ujikuze kiroho. Yanatolewa bila malipo ya pesa.Mradi huu wa maji ya uzima unatoa kozi mbalimbali kwa njia ya vitabu. Kozi ya kwanza inaitwa “HATUA YA KWANZA” inayotokana na injili ya Yohana. Utakapokuwa unaendelea na kozi, utatambua Biblia inasema nini kuhusu kuwa mkristo, kuyashinda majaribu, uhakika wa wokovu, uchumba na ndoa za kikristo, utengano wa kanisa na serikali, uaminifu katika kushughulikia pesa, kuishi kwa amani, kutembea na Mungu na mengine mengi.Kujiunga, tafadhali jaza fomu kwa umakini kisha uitume kwa anuani ya hapo chini au upeleke kwenye kituo… ## Pages - [Mawasiliano](https://majiyauzima.com/contact-us/): Mawasiliano Tunapatikana sehemu mbalimbali. Ukitaka kuchukua masomo au kurudisha mitihani yako unaweza kutukuta sehemu zilizoorodheshwa hapa chini.  Tunapatikana Mbeya 1) MYU Makao MakuuIsyesye, Karibu na sokoni, s.l.p. 15480754 490 549  /  0719 275 767 2) Nanenane Kituo cha Mabasi   Zanzibar Bububu 0777 222 628 Rukwa 1)Namanyele,  0743 538 286  Tabora 1)Mjini Shule ya Wasioona inayoitwa Furaha0753 032 661 2)Nzega0783 310 847 Mwanza 1)Nyasaka  0754 207 788 Kagera 1) Ngara, Nakatunga 0764 297 175   Wasiliana Nasi Michael Korosso 255.719.275.267 Wasiliana nasi kwa Njia ya Posta Maji ya Uzimac/o Harmony InternationalS.L.P 1548 Mbeya Tanzania Facebook Twitter Google-plus Youtube Github - [Mwanzo](https://majiyauzima.com/): Sisi ni Nani? Maji ya Uzima ni kozi zinazokuwezesha kuwa msomi wa Biblia popote ulipo. Lengo kuu ni ujikuze kiroho. Yanatolewa bila malipo ya pesa.Mradi huu wa maji ya uzima unatoa kozi mbalimbali kwa njia ya vitabu. Kozi ya kwanza inaitwa “HATUA YA KWANZA” inayotokana na injili ya Yohana. Utakapokuwa unaendelea na kozi, utatambua Biblia inasema nini kuhusu kuwa mkristo, kuyashinda majaribu, uhakika wa wokovu, uchumba na ndoa za kikristo, utengano wa kanisa na serikali, uaminifu katika kushughulikia pesa, kuishi kwa amani, kutembea na Mungu na mengine mengi.Kujiunga, tafadhali jaza fomu kwa umakini kisha uitume kwa anuani ya hapo chini au… [comment]: # (Generated by Hostinger Tools Plugin)